MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Unapotaja matajiri wa Mwanza kwa haraka haraka watu wengi mawazo yao yanaenda Capri Point,lkn kuna mtaa wa Mwananchi ambao una matajiri wengi ambao wanapenda Low profile,mtaa huu uko pembeni ya stendi ya Buzuruga una mabilionea wanaokadiliwa kufika 54 na hivyo kuufanya kuwa moja ya mitaa michache sana yenye bilionares per sq km kubwa nchini.
Baadhi ya bilionea hao ni Fortes, waarabu wa Nyehunge, Ngassa, Mluga/mruga (ndg wa Gachuma) ,Baraka,Njiwa Pori, Lunara, CF builders, yusuph golds, Shilinde, (Zakaria, Midimu, Kitana, nk hawa wana nyumba zao Huko)
Now you know