Rich mavoko wanamfuata wenyewe na akiweka bandiko basi nadhani atakuwa hana nafasi ya kuwahifadhi woteHeeeh! Kumbe we ndo Rich mavoko !! Jamaniii!!
Rich mavoko wanamfuata wenyewe na akiweka bandiko basi nadhani atakuwa hana nafasi ya kuwahifadhi wote
Aaaaah! huwa ankukuna kwa nyimbo zake eeee!basi nilijua ndo huyu loh kidogo nimtwangie! Aagh bath tena!
Naitwa Richard Natafuta na nahitaji mwanamke umri kuanzia miaka 20-25 awe wa kujielewa,mpole,mwelewa,mchamungu,msomi na Mwenye upendo wa dhati awe na rangi yeyote na dini yeyote asiwe mnene sana ..elimu yeyote
0763-891582 tuwasiliane through that number
Sasa unataka awe msomi au awe na elimu yoyote?
Mi staki bana ah!aahahahaha
aftena sijakuonapo siku mingi.hiv upogi?