Mwanamke wangu ni kikojozi

[emoji121]
HAKUNA PICHA YA KUSHADIDIA UZI?
 
Una ujasiri mkuu yaani unaweka mambo yako siri adhalani?
 
Mmh. Hii ngumu kumeza.
Nikajua ushamuoa,kama sasa hivi anapiga na mavi kabisa anaendelea hiyo michezo
 
mkuu wacha nyumbani kwako alione paa..mambo mengine yanatisha...ila kama unampenda kwa dhati ya moyo wako mnunulie diapers awe akijifunga kama vile mtoto mchanga
 
Sijui huwa kuna uhusiano gani wa new member Na madam tata kama hizi!
Anyway ngoja waje wakushauri

Hata nami huwa nashangaa hawa new member mana nyuzi wanazozianzisha mara nyingi ni kichefuchefu
 
Hee pia anakunya kitandani.....


Kama anakunya kitandani basi POA.
 
Mtafutie dawa kama unampenda na umedhamiria awe mke wako
sasa bidada hiyo dawa ya kumtibu "Marinda" yaliyokwisha tatuliwa ataitoa wapi huyu mtoa mada jamani...?? 🙄
 
tiba zipo mkuu waone wataalamu wakusaidie zaidi,
 
Mmmh mafurushi tena hapo tchaaa muache akaendeleze halichachi yake huyo.
 
Dunia ina mengi ya kustajabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…