kashaijamakaka
Member
- Jul 22, 2017
- 20
- 40
Amani na upendo viwe na nyinyi ndugu zangu, kwa heshima na taadhima naomba kueleza juu ya itaji langu la kutafuta mke wa kuoa. Nimevutiwa kufanya hivyo baada ya kuona wapo wana jamvi ambao kuptia jukwaa hili wamefanikiwa kupata wenza.
Mimi ni baba wa watoto watatu (single parent ) kwa bahati mbaya sana na kwa sababu zisizozuilika tulitengana. Ni mfanyakazi .Naomba kwa mwanamke ambae yupo tayari kwa maisha ya ndoa tafadhari tutafutane pm.Sifa zifuatazo ndo vgezo vyangu
Awe mkristu wa dhehebu lofoten
Mpenda maombi
Awe na figa nzuri
Awe na kazi
Awe na mtoto /watoto
Mwenye heshima na adabu
Elimu ya chuo kikuu
Mweupe wa kuzaliwa
Kwa yule alie serious aje pm .
Nina imani na mimi nitafanikiwa kama wenzangu walivyofanikiwa
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app