Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

Joel360

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
981
631
Habari za jioni.

Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke anaejua kumnasa mwanaume kama mwanamke wa kitanga.

Mwanamke wa kitanga akikutaka anakupata. Tena bila hata kukutongoza. Na hela utampa hata asipokuomba. Yamenikuta. Ile mitego aloniwekea nilinasa kilaini sana licha ya kuwa na msimamo. Hapa unapoona nimeshamlipia na kodi japo hajaniomba.

Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika.

Ninachojaribu kusema ni kuwa epuka urafiki na mwanamke wa Kitanga kama una familia maana utajikuta tu unaipuuza familia yako na mkeo ataanza kupata shida. Hawa watu utasema wana PHD ya utundu.
 
mimi niliwai kukamatwa na mtoto wa kitanga ndani ya saare tanga.
nimekuja kushtuka kupata akili nishakula mpaka nauli.
nikaomba lift kwenye fuso imebeba nazi kuja dar.

astakafilulaaa wee !!!!!nilikuwa na safari ya mbeya moyo ukaiambia akili "pitia short cut ya tanga ukampe hai mariam mjata mtoto wa kitanga akupe raha kisha uondoke"
akili yangu ikakataa katakata hakuna short cut ya kwenda mbeya uzungukie tanga bali ni nyege tu na mahaba ya yule binti mtanga.
nikanyoosha one way mpaka mbeya.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mzee mmoja miaka ya 90 alikuja Tanga field akajikuta amepitiliza muda wake na maisha yanaendelea na toto mmoja wa kibondei limemchengua yaani kasahau familia yake uko alipotoka

Ndipo ndugu zake nao wakapiga ndumba akastuka kidogo, akapanda basi kurudi lakini alivyofika daraja la wami, akasimamisha bus na kumwambia dereva anaomba kushuka maana amesahau koti lake ndipo watu wanashangaa na kucheka sana wakasema Tanga ukiingia hutoki tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi wa kitanga hawadumu kwenye mahusiano kwanza inabidi ujue culture yao watu wa Tanga hasa wanawake kwenye mahusiano ,mwanamke wa kitanga yeye kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja kwake ni kawaida kabisa halafu wao mara nyingi haogopi mapenzi kuvunjika ila inabidi ufahamu pia kama sio mtu wa huko akikupenda ujue una kitu mfukoni halafu pia mwanaume wa bara huwezi kuishi na mwanamke wa Tanga labda ukubali yeye ndio awe ana sauti ndani kingine wanawake wajanja wengi hawawapendi wanaume wa Kitanga sababu ikisemekana wanaume wengi watanga hawapendi kazi ngumu kwenye utafutaji wao kuuza genge yaan zile kazi lain lain ila kwa wewe kama mpk umeleta uzi humu maana yake akili imeanza kukurudi maana hapo umekamatwa
 
Back
Top Bottom