Mkuu watu wengine wanatakiwa wajibiwe kwa ukali, wanapenda ku-generalize issues, ni problem sana hata maofisini. They don't think outside the box matokeo yake wanacreate havocs. Kuhusu neno tinker, halina makosa yoyote, lina maana nyingi lakini mojawapo ni mischiveous person. Wakati mwingine ni phrasal verb ambayo ni tinker's damn likiwa na maana ya something insignificant na hiyo ndo maana nimemwita great tinker. Kuhusu neno la pili a I agree. Sababu nyingine natumia mobile haina spelling check mkuu.
Ndiyo mkuu, siziamini sana lakini maadamu tuko duniani tunakuwa pamoja. Maana wanasema safari nzige na panzi wamo. Mimi ni panzi hapo. Kheli ya mwaka mpya kwako mkuu na wana jf wote.Pamoja sana, tunaishi kwenye jamii mchanganyiko, na ninakubali wengine wanapaswa kujibiwa kwa ukalli. maandalizi mema ya kuupokea mwaka Mpya (kama huwa unaamini katika sherehe za mabadiliko ya namba)
Wanaheshimu mila zao.Ni washirikina kupita kiasi.
hawana tabia za pwani
kuna kaka yangu amepata mwanake kutoka kigoma yaani muha,anataka kumuowa
je wanawake wa kiha wanatamaduni zipi na tabia zipi? tusaidieni wana JF
hawana tabia za pwani? una maana hawatoi tigo au?
Haki ya mungu...hivi ninyi wote mliotoa comments zenu, za ushirikina, uchawi, kutoka nje ya ndoa etc mna ushahidi wa haya mnayosema? inasikitisha sana kuona karne hii bado kuna watu wa jinsi hii.....if i can ask you guys, unawezaje kujua mtu ni mshirikina if ur not doing the same? Ibilisi humjua ibilisi mwenzie....that is the principles...kwa maana hiyo if these people "Waha" ni washirikiana na wewe unaetoa coment ni Myao, Mgogo, Mhaya au Mchagga, the same way wewe ni mshirikina tu, umeyajuaje hayo? Na mwisho ni kwa muuliza swali, kimsingi swali lako ni la kijinga na halina msingi wowote, if ur brother ka fall na mtu hata angekuwa wa kabila gani, cha msingi wamependana...achana nao, na kama wewe ni mwanake anagalia sana tabia yako "what goes around........comes around"