wewe mwanamke usiwe mwoga ,usiogope .hakuna siri mbaya watakazo sema, usiwe na munkari .haya mambo madogo madogo usijilinde, au hamtaki kuja kukaa na sisi. hatutukani tukani kama waha.Haki ya mungu...hivi ninyi wote mliotoa comments zenu, za ushirikina, uchawi, kutoka nje ya ndoa etc mna ushahidi wa haya mnayosema? inasikitisha sana kuona karne hii bado kuna watu wa jinsi hii.....if i can ask you guys, unawezaje kujua mtu ni mshirikina if ur not doing the same? Ibilisi humjua ibilisi mwenzie....that is the principles...kwa maana hiyo if these people "Waha" ni washirikiana na wewe unaetoa coment ni Myao, Mgogo, Mhaya au Mchagga, the same way wewe ni mshirikina tu, umeyajuaje hayo? Na mwisho ni kwa muuliza swali, kimsingi swali lako ni la kijinga na halina msingi wowote, if ur brother ka fall na mtu hata angekuwa wa kabila gani, cha msingi wamependana...achana nao, na kama wewe ni mwanake anagalia sana tabia yako "what goes around........comes around"
Ushirikina mkuu,hata kama ni msomi ushirikina hawaachi.kuna mmoja ni mhasibu nilimkuta anakunywa doz ya dawa ya kupendwa kazini,asipoteze hela,na asifukuzwe kazi,cha kushangaza alihamishiwa branch nyingine akakaa 2wks akafukuzwa kazi, karibuni ya waha wote iwe wa kike au kiume wanaasili ya ushirikina.
kuna kaka yangu amepata mwanake kutoka kigoma yaani muha,anataka kumuowa
je wanawake wa kiha wanatamaduni zipi na tabia zipi? tusaidieni wana JF
Sasa jamani, Tanzania hii ni wanawake wa wapi wazuri?
Kila kabila linapigwa marungu tu?
Duuuu@!
Stereotype, umeshakutana nao kwa waganga wa kienyeji au wakiwanga mara mara ngapi. Mkuu chutama ya kwenu unaisemeaje?Ni washirikina kupita kiasi.
Great sinker, always loosers think about metaphysics. Any scientific evidence please?Wachawi balaa.
Ushirikina mkuu,hata kama ni msomi ushirikina hawaachi.kuna mmoja ni mhasibu nilimkuta anakunywa doz ya dawa ya kupendwa kazini,asipoteze hela,na asifukuzwe kazi,cha kushangaza alihamishiwa branch nyingine akakaa 2wks akafukuzwa kazi, karibuni ya waha wote iwe wa kike au kiume wanaasili ya ushirikina.
Another great tinker, wewe asili yao umeijuaje? Research yako uliichapishia wapi? Hivi wewe unajua baba uliyenaye ni wako? Kwa hiyo kama siyo wako wanawake wote wa kabila la mama yako wako kama mama yako? Think twice before posting rabish.
Muha wa wapi? Kasulu, Kibondo, manyovu au ujiji?
Muha wa wapi? Kasulu, Kibondo, manyovu au ujiji?
Nadhani ingetosha kumuelewwsha tu, na si kusema harakaharaka. ushirikina una tafasiri pana, hauna mwenyewe kwa sasa, ni uamuzi wako tu
NB: Nilipokoleza jaribu kuangalia sp.
Tatizo kubwa la waha ni ubishi, matusi na kuchonga mno. Mwanamke wa kiha ukimwambia neno moja mwenzio anarusha maneno kumi. Ni vigumu sana kumshauri.