Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,160 Jan 6, 2015 #61 Eli79 said: Hao nawafahamu, nadili sana nao...sharau hata kwenye simu. Pole sana, tumtaftie mda tumuonyeshe mambo. Hawezi kukutapeli mchana kweupe.....! Click to expand... Ntakutafuta mkuu nikiwepo eneo la tukio.
Eli79 said: Hao nawafahamu, nadili sana nao...sharau hata kwenye simu. Pole sana, tumtaftie mda tumuonyeshe mambo. Hawezi kukutapeli mchana kweupe.....! Click to expand... Ntakutafuta mkuu nikiwepo eneo la tukio.
kamtesh JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 1,395 Reaction score 514 Jan 6, 2015 #62 Club sio ishu, mbona wewe waenda club,unaweza kua mume mwema kweli. Tabia ni mtu binafsi mara nyingi. Wapo wanaume kwa wanawake hawaendi club, lakini viwembe, yaani malaya wakutupa. Ukimpenda chukua jiko bwana mukatulizane home.
Club sio ishu, mbona wewe waenda club,unaweza kua mume mwema kweli. Tabia ni mtu binafsi mara nyingi. Wapo wanaume kwa wanawake hawaendi club, lakini viwembe, yaani malaya wakutupa. Ukimpenda chukua jiko bwana mukatulizane home.