Tatizo nini nauli ya kusafirisha mtu toka Lindi huna??
Unaoa kimkoa??
Huna tofauti na matangazo ya shule siku hizi.
Utasikia shule XYZ ni nzuri sana, mwaka huu imefaulisha, ya kwanza kimkoa, ya pili ki wilaya.
Wahi nafasi zimebaki chache, watoto wanapata breki fasti (Maini ya chapati) lunch (Pork Ribs na mikate) usiku (pure-kande)
Wizi mtupu kama wewe, upendo wako unakuwa affected na kijografia??
Mwanaume jasiri hum face mwanamke na si kujificha nyuma ya pazia la JF kutafuta mtu gizani halafu harusi uifanye nuruni.
Mkuu acha uoga tafuta wanawake mtaani kwako wako wengi tu, njoo huku Moshono, Nduruma, Sanawari, Kimandolu wako wa kutosha acha kufanya vituko. Humu jamii forum hamna wanawake wa Form IV wengi humu graduate. Yaani humu ulichofanya ni sawa na kutangaza biashara ya kitimoto msikitini