Mwanamke ukimpenda kupita kiasi kabla ya kumtongoza

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,786
189,306
Habari zenu,

Kwa week nzima tulioimaliza wakuu wote katika jukwaa pendwa kama jina linavyodhibitisha maudhuhi.

Bila kupoteza wakati pamoja na space niende kwenye mada moja kwa moja.
Hii ni kwa wanaume wote ambao ni marijali na ambao walikutana na vibwanga vya hapa na pale katika harakati za kuzitafuta papuchi na wengine katika harakati za kuanzisha familia kwa ujumla. Wakati mgumu kwa gentleman au mwindaji, maninja, washikaji, hata kwa ma playboy ni pale anapojikuta amefall kwa mtoto mzuri fulani classic ambae anaona kwa means yoyote ile hatakiwi kumkosa katika mission nzima ya kuhakikisha mtoto anajaa mikononi mwake. Hii kama imewahi kukusibu.

Utanielewa moja kwa moja kuna mda unaweza ukajihisi mbona kama pepo la udomo zege limekuingia hizi maana inatokea mtoto umemuelewa kupita kiasi hata kwa wale wanaharakati wa kuzitafuta papuchi kisela ikifika time hii lazima kuumiza kichwa maana mara nyingi masela tukicollide na mtoto kikawaida unaweza omba number na ukamaliza kumpanga mtoto na ukajikuta time inavyo go ndio mtoto unamuelewa zaidi na inakufa normal sana.

Ila katika hili la kumpenda mtoto kabla ya kumtongoza hadi file za kichwani unaona zinafuta list za watoto uliopita nao hapo ndio huwa inaleta ugumu sana katika kumtongoza huyo mtoto unawrza ukajikuta umefika hadi kwenye hatua ambayo hata mtoto mzuri alitakiwa kutemewa madini ila kutokana na extent ya kufall kupitiliza unaona kama time bado vile ya kumtell ya moyoni.

Hapo ukitaka kujua ni wakati gani mgumu ambao wanaume tunakutana nao ni hapo. Na pia kuna wengi pia ambao huwatesa zaidi katika hili na hata kama ana power kiasi gani kwenye pesa hata maneno na mbwembwe ila akijikuta amependa kupitiliza kabla ya kutia neno hapo lazima pamchanganye kidogo hadi time inafika mtoto mzuri anaona kabisa hapa nini kinachofata na kama ndio series kwake anaona ni final episode kabisa ila kumbe huku kwa ninja huwa yupo kwenye hali ngumu ambayo anahisi kama amebunda mawe mdomoni ila kwa wale madem wa chapa ilale na kuspend good time hii kwa wakongwe katika kuwinda hii hatutumii nguvu kabisa maana mtu unakuwa unaona ni kawaida sana kukubaliwa au kukataliwa.

Wakuu nadhani watanielewa sana waliokumbana na visanga kama hivi vya hapa na pale.Wakuu mnaweza kuongezea harakati ulizokumbana nazo kama maninja huku tulivyokutana navyo hadi ukahisi mbona nyota ya udomo zege inakuwinda.

NAWASILISHA
Weekend njema.
 
daah mbona ndefu sana!!, ngoja wakomenti kwanza then ntarudi kusoma komenti nijue unasema nn mleta uzi....
 
Ungeeleweka vizuri kama ungepanga kwa mtiririko mzuri huu uzi wako. Hebu fuata taratibu za uandishi ili walau ivutie wasomaji na wachangiaji!
 
We jamaa watu wanamawazo najuta nimesoma maandishi mengi yenye maana ndogo na fupi sana, kwanini usijifunze kufupisha story ?
 
hii hali ilinikuta kwa mdada fulani na ilichukua mda sana kumumwagia madini na kwa kujiamini eti kwasababu ya kale ka mda nliokuwa nmezoeana naye kuwa mambo lazima yaseme YES,sikuamini pale jibu lilipokuja NO ule usiku nakumbuka sikulala
 
hii hali ilinikuta kwa mdada fulani na ilichukua mda sana kumumwagia madini na kwa kujiamini eti kwasababu ya kale ka mda nliokuwa nmezoeana naye kuwa mambo lazima yaseme YES,sikuamini pale jibu lilipokuja NO ule usiku nakumbuka sikulala
Alikataa mazima mkuu? Au baadae alikuonea Huruma?
 
Back
Top Bottom