Mwanamke sio mtu wa kubembelezwa

Itakuwa huna nguvu za kiume.Ukiwa una nguvu za kiume huna haja ya kumbembeleza mwanamke.
 
Kichwa cha habari kinahitimisha,

Habari yenyewe inauliza. Maajabu!!
 
Mwanaume utafute hela kwaa shida.
Uumie, jasho damu zikutoke.

Alaf ukipata hizo hela uende kwa mwanamke umbembeleze na mle nae.

Kha! Mwanamke amuheshimu sana Mwanaume na mwanaume ampende na kumjali mwanamke.

Mm hiyo kubembeleza naona ni tasfiri nyingine kwangu.

Tunaahitaj kuheshimiwa sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…