JEMEDARI .H.
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 341
- 63
Mbona The secretary kaolewa tena na JF memba??
Mbona The secretary kaolewa tena na JF memba??
kwani unaoa kazi ya mtu au unamuoa mtu..........dunia ya leo hakuna cha secretary wala teacher,mama wa nyumbani wala mhasibu etc marinda yanafunuliwa kama kawaida tena kiulainiiii kama unavunja biscuit hivyo basi nature ya mtu ndo jambo la msingi la kujiuliza na kuligundua.