naliwe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 475
- 1,062
Ni aibu kwa mwanamke hadi unaingia kwenye ndoa umeshatembea na wanaume weengi alafu ulichoambulia ni vinguo na visimu tu uku ukisahau kua mapenzi ni mtaji
Naomba niwape ushauri
Unapokua na mahusiano na mwanaume cha kwanza jali maendeleo yako angalia kwa kua nae uyu nitafaisika na nini acheni mambo yenu ya ubaby baby kujifanya kua eti nampenda hata kama hana kitu
Wengine wanaopoa madingi yenye pesa zao badala wafanye vitu vya maana wanaendekeza mitoko na kiujidhoo tu kwa marafiki zao,kila kukicha ni masimu tu ya ghalama uku wakisaau kua tupu zenu zinapoteza ubora wake
Pendeni maisha kwanza alafu mapenzi baadae,
Naliwe wa lumumba