Mzee unajua wale watoto wa huku kwanza wanafundwa jinsi ya kumjali mwanaume yaani mpaka unachonga mzinga kabisaaa yaani wanajua kupenda na wanajua mapenzi ni nini yaani we acha tu.
sorry mkuu.....hii avatar mashori wengi wanaipenda na ndio wametaka niiweke.....Aisee we Yo Yo-
Hebu badilisha huyo Inzi wako. Anatia kichefu chefu... weka picha nyingine tafadhali!!!
Mdau Kawe.
Inamaana yale yanayoimbwa kwenye taarabu wanayapractice kiukweli? watupa ushuhuda ulioenda shule. Ulikua makorora au Chumbageni? Najua mitaa fulani ya kwaminchi pale kati.
Kuna sehemu inaitwa ''chumvini'' iko njia ya kwenda mombasa, inaonekana jamaa alikuwa huko!!!! teh teh teeeeeeeehhhh!!!!
Ani PM.....ni nani?
ahahahhaha YoYo huchelewi saa mambo ya dpt B siyanataka mawowoooo ama portable!!! we nawe wataka vyote!!
Inamaana yale yanayoimbwa kwenye taarabu wanayapractice kiukweli? watupa ushuhuda ulioenda shule. Ulikua makorora au Chumbageni? Najua mitaa fulani ya kwaminchi pale kati.
Hehehehe mkuu usiombwe ukapendwa na mtoto wa Kitanga dah utasahau kwenu yaani wanajua kujali kukuthamini yaani mzee dah we acha tu kwakweli watoto wanayajua mapenzi iwe bedroom au nje ya uwanja kwakweli wamefit pote.
Asante kwa ushauri maana niko hivyo.Lakini kama upo portable si bora ubaki hivyo hivyo.
Asante kwa ushauri maana niko hivyo.
mwanamke atune chini ya mgongo.....
Mwanamke usafi, hivyo vingine majaaliwa!!!
Mwanamke kujiheshimu!!!
Halafu akishatuna?
hapo Kaizer umesema , ndio hasa ulivyo huo msemo.wenyewe wanasema "mwanamke nyonga makalio majaaliwa" sasa hapo sielewagi elewagi vile...
hapo Kaizer umesema , ndio hasa ulivyo huo msemo.
mwanamke nyonga makalio majaaliwa ,
nyonga inayosemewa hapa sio muonekano wa kiuno chenyewe , kinachomaanishwa hapa ni ule uwezo wa mwanamke whether ni namba nane ,saba au tisa au moja haijalishi kinachojalisha ni uwezo wake wa kuizungusha hiyo nyonga iwe kwenye muziki au sita kwa sita.
ndo maana wakasema mwanamke nyonga kwa maana kwamba hata usipojaaliwa hayo makalio makubwa unaweza ukajaaliwa kuzungusha kiuno en thats all counts to them, na pia waweza kuwa na makalio kama furushi na pia ukashindwa kukizungusha kiuno.
upo hapo fidel hiyo addiction yako ya kupenda kujiexpress yourself has nothing to do with this statement.