Sifa alizozitaja ni za kawaida sana kwa binadamu wa kawaidaUmba wako mwenye sifa kama hizo...
I don’t know why lecturers get bothered when we don’t come to lectures.. I paid my fees and decided not to come to your boring class so what’s really their problem
I just don’t get it ..
Watu hawajasoma na kuelewa nilichoandika lakini sifa zote nilizotaja ni za kawaida sana wala hamzibani mwanamke hivyo wanawake wengi wanazoSifa alizozitaja ni za kawaida sana kwa binadamu wa kawaida
Niamini mimi....hujasoma uzi wake
Ujanani nilikuwa na vigezo.... Huwa naiangalia past yangu sometimes kwa sononeko na funzo kubwa
I buy this idea wholeheartedly. Thank you so much.Instead of paying a tuition fee for a class you will not attend, why don't you just pay a library fee, I believe it's more cheaper than a tuition fee.
Ninayemtaka
1.awe anaishi bar
2.ukimtumia unalewa
Namzungumzia beer naipenda beer
Wachache tunaelewahapo kwenye ilo kabila nimekuelewa sana tu ,
Huko hamnako issue mkubwaKaribu mikocheni b mlima wa moto View attachment 1235773
Wanaume siku hizi tumeanza kuwa na kiburi kisa tu wengi wako mtaani,vigezo vyote hivyo wataweza kweli...!1. Awe mjanja kiasi. Asiwe mshamba mshamba
2. Asiwe ameshika dini kupitiliza
3. Awe mcha Mungu wa dhehebu lolote i.e muislamu/mkiristo even if hasiwe na dini it's okay
4. Asiwe muumini wa imani za kishirikina
5. Awe anajua kusoma na kuandika
6. Awe na ujuzi wa fani yoyote
7. Awe na uwezo kufikiria na kufanya maamuzi siyo mambo yote ya kifamilia aniachie mimi nifanye maamuzi
8. Asiwe muha(nina sababu zangu kusema hivyo Msije sema ni ukabila NOP)
9. Awe na elimu ya kujitambua.
10. Wazazi wake wawe tayari kupokea mahari isiyo fika million moja.
11. Aged 20 - 25
12. Asiwe mpenda starehe kupitiliza
13. Awe tayari kufunga ndoa ya kiserikali
14. Asiwe na mtoto wa pembeni. i.e single mother
15. Awe na tabia njema, asiwe na kiburi, dharau na majivuno
*Huyo ndiye mwanamke ninaye mtaka*
Hivyo vigezo vya kawaida sana wengi wanavyo mkuuWanaume siku hizi tumeanza kuwa na kiburi kisa tu wengi wako mtaani,vigezo vyote hivyo wataweza kweli...!
KaribuMlima wa moto