Mwanamke ni nani?

teh mkuu wewe ni mpiga gambe kweli? Au ndiyo ile wanasema, jishushe upandishwe!
nipo bar hapa napiga one two one two ila najua mamsapu home ameshaweka kila kitu sawa, hakanidisapointigi haka kamama watoto.
 
Halafu anayetakiwa kupewa pesa non stop.. Teh teh teh
teh hapo kwenye kupewa pesa non stop inategemea na mkwanja wa kidume, maana kuna wengine anataka kwa mwezi laki 2 wakati mme wake anaingiza laki na nusu kwa mwezi, wengine wanataka laki 8 kwa mwezi wakati mme wake anapata laki 7 kwa mwezi. Teh kazi kwenu.
 
kuweni watu wa kujishusha, mtafaidi sana hela zetu, hakuna mwanaume anaependa kushindana na mwanamke, akikukaripia ukiwa mpole mwisho wa siku anakuonea huruma.. ukiwa mwanamke wa dizaini hio utakula sana matunda yake.
Aiseee!!
 
Nakubaliana na wewe...
Nilikuwa namchokoza tu mdogo wangu atoto
 
nipo bar hapa napiga one two one two ila najua mamsapu home ameshaweka kila kitu sawa, hakanidisapointigi haka kamama watoto.
we jamaa kila siku unakunywa
 
1 Mama yangu
2 Dada yangu
3 Mke
4 Bint yangu
5 Mke wangu
Ndo mana Dini zimesema tujue jins ya Kuishi Nao tujue Weakness zao na Strongness zao
 
Ni chombo flan iv amazing cha burdan [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…