Mwanamke na Mtwangio

'Kazi ya wanawake ni kutwangwa'

Kuna vitu vyaweza kua kweli katika jamii yako lakini kuvitamka katika jamii nyingine ni ujinga.
Hata kulilia wanawake kwenye jamii yenu ni fresh ila kwetu unaweza pigwa bakora ukikutwa unalilia k
 
Hua mimi nashangazwa sanaa..anaaliwa mwingine anaumia mwinginee ni ujinga wa hali ya juu mnoo,anyway mimi nikichapia siumii kabisaa lakini ukimwaga pombe yangu nakufa na wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kumbe madee alikuwa sawa. Nani kamwaga pombe yanguπŸ˜‚πŸ˜‚
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Duuuh
 
Wanaume wengi wakisha oa husahau na kuamini kuwa mwanamke ni ndugu. Kosa kubwa. Mwanamke ni rafiki wa karibu na urafiki unaweza kudumu au kufa.
 
Ushauri wa bure kwa mwanaume, usije kuthubutu kujitoa uhai wako kwasababu ya kutendwa na mwanamke

Kwasababu siku ya mazishi yako atakuja na danga lake makaburini, imenitokea kama mara tatu hivi
Hiyo mara tatu kuja na danga lake kaburini au[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…