Mwanamke na kufika kileleni


Hahahaa...

Issue sio G spot wala nini wewe kama ni romantic and uko na sexual seduction amini mwanamke wako lazima afike ontop katika kila tendo...Mapenzi sio mambo ya kupelekana mchaka mchaka kama gwaride la jeshi...Mambo ni slow but sure na enjoyment nyingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sawa Dr Love umesomeka.
 
Atimize wapi ?hivi anatujua ndugu wazaramo huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Naona hawajui vizuri, mke mshampa ahadi hatimizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Countrywide mbona umemdanganya dada mkubwa??!
 
Tatizo sio wanawake, mwanamke mbona anafika tu.... tatizo ni hiliπŸ‘‡
Wanaume wengi sio romantic,hawajui kumuandaa mwanamke vzr, wengine Wana aibu sijui..
Na shida nyingine wanawake baadhi hawajui hata kufika ni nnπŸ˜…
Wanaishia kuhangaika na style Ili kumfurahisha mwanaume...
.aah yaani ni shidaaa..
Ila ukikuta anaejua kukojoa mbona faster,Tena uhakika kabla hata hujaingiziwa ....😎

Nimekutana na wanaume wa hivi 2 tu kwenye maisha yangu!
Wengine wote majangaaaaπŸ˜›πŸ˜›
 
It's true
Na wanaume wanaojua haya pia wachache sn.
πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
 
Ila ukikuta anaejua kukojoza mbona faster,Tena uhakika kabla hata hujaingiziwa ....😎

Nimekutana na wanaume wa hivi 2 tu kwenye maisha yangu!
Wengine wote majangaaaaπŸ˜›πŸ˜›
Hahahaaa...Njoo PM tuyajenge kisha tukafanye testtest one two, one two mic check 🀣🀣🀣

Baadae usisahau kuleta mrejesho hapa 🀣🀣🀣
 
Mume na mke tu..
Not otherwise
Tushapita zama za uasherati na uzinzi πŸ˜›
Hahahahaaa huwa hazijawahi pita hizo...
Kukumbushia enzi pia ni sehemu ya ibada πŸ˜‹πŸ˜‹ itapendeza ikiwa tutalitumiza hili 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…