Habarini!
Juzi nilikuwa niko na mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa sita. Katika kupiga stori nikawa namuonya juu ya jambo fulani.du mwanamke saa ngapi asianze kkumbushia eti mama yangu anamchukia cna hampendi ni kweli kipindi cha miaka miwili ya Nyumba mama alitaka kumkataa huyu mwanamke lakini baadae akamzoea mambo yakaisha sasa ndo kila cku kkumbushia kuwa mama yako ananichkia. Nikamuuliza angekuwa anakuchkia mpaka sasa angekuja kwenu kwa ajili ya utambulisho!? Kimya yaani bado kidogo nimzabe k.....
yes nafsi naturally inapenda kujikera na kujikumbushia vitu vinavokerakera,kwa mwanamke naona inakua zaidi Ila usimkasirikie na we we jaribu kumuelewesha kisiasa zaidi kuhusu mambo ya kinyongo na madhara ya kinyongo kwake na kwako..natumai ataelewa