Mwanamke mzuri ni msumbufu?

mbona me mzuri na nimetulia na ndoa mwaka Wa tank sasa

Hongera najua kwa nn umetulia ni kwa sababu umeokoka na unahofu ya Mungu bila hivyo ni ngumu....ntamwomba Mungu anipatie kama wewe:thumbup::thumbup:
 
ukiwaendekeza tuu mwenyewe...wanawake ni walewale tuuu....af pia mbwembwe za utotoni inafika pointi wanatulia wala sio wapole...wanakula ujana tuuu.....utulivu ni moyo na kujitambua hata akiwa mzuri...pia anakutega akikusumbua...sa we ukionekana boya tuuutalia...kaa vipi nawe wachukulie poa tuuu
 
They say, if you can't stand the heat, then stay the hell outta kitchen Youngblood. Let the Standouts stand-out, and the regulars stay regular. Choose a side, and ride with it.
 
Kwanini wanawake wazuri?! inamaana wewe sio mzuri....amini wewe ni mzuri kuliko yeye... hawata kusumbua kamwe.

ishhh kausha nakojoa huku nimesimama
 


wacha nisumbuke tu...siwezi kujizuia kupenda vizuri.
 
'Mwanamke mzuri ni mbaya sana kwa sababu kasoro zake Zimefichwa na uzuri wake'
 
inategemea huyo demu mzuri mwenyewe unamgonga kwa uzuri gani kama unamgonga umfikishi hata demu mbaya atakusumbua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…