Nini maana ya mwanamke mtu mzima mwenye miaka 40 kwa kijana wa miaka 25. Kama huyo Dada angepata mimba akiwa na miaka 15, si atakuwa na watoto unaolingana nao. Halafu nipasuliwe kichwa na nani na kwa nini ? Kwa kukemea uovu katika jamii. Kwanza unajua niko wapi sasa hivi na nafanya nini hadi nipasuliwe kichwa, ushaniona kwenye vijiwe vyenu kweli, hata nikipita hapo lazima mfukuzwe kwanza, mtarudi baada ya mimi kupta. Kwa taarifa yako mimi kuwa ke au me haikuhusu. Halafu sitaki kukuona kwangu, utaniharibia vijana wangu.