Son naona umeamua umdalalie mama yako kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mimi nina mahitaji rundo halafu sina uwezo wangu mwenyewe, itakuwaje sasa[emoji134][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Mwambie uncle ikitokea amefikia ile hatua ya "hata wenye mahitaji waje tu" unistue son.