Akiolewa anatulia tuliiiii! Utadhania hata siyo yeye.
Mwanaume sasa! Loooh! Unakuta mkaka mtulivu ka vile ana undugu na mitume, ngoja aoe, sijui wanakutaga nini huko ambacho hawakukijua! Anaanza kupurura mara huku mara kule hatulii.
Nini shida?

Jana tu, kuna bidada miaka ya nyuma alikuwa kipenzi changu, baadaye akaolewa na ofisa moja wa jeshi...... Nikakutana na bidada huyo jana nikataka nikumbushie enzi, alinishangaa km vile hajawahi kunipa yaani hanifahamu kabisaaaa. Yaani km vile ndo naanza kutongoza upya kabisa