Mwanamke kutoka kunywa vilevi) ilhal kamwacha mume nyumbani na hazingatii muda wa kurudi nyumbani

Mbaga Lazaro

Senior Member
Aug 9, 2020
132
107
Kama tittle inavyojieleza waungwana nimeguswa kupepesa juu ya hili swala.Kisa kama hiki nimekifuma mahali.Mke anakunywa mme hanywi.Chakustua zaidi mke anaenda kulewa huku anamwacha mumewe nyumbani akifanya kazi za ndani.

Chakushangaza huyu mwanadada anapokuwa huko ulevini yanazungumzwa kwamba anao wadau kadhaa anaopita nao,cha ajabu mdau huyu (mume mtu) yupo kimya tu hata kumkanya mdau kuhusu tabia hii.

Hivi kweli mke anarudi saa tatu usiku mume ndiye anayepikia watoto ,na wakati mke anarudi anaonekana kabisa kwamba " amelowaa amelowaa amenyeshewa na mvua yawo yawo"nadhan mmenielewa lakin cha kushangaza blaz yupo cool tu.

Du wajumbe na huu ulimwengu ulivyoshehen magnjwa,Du inasikitisha ,japo yasemekana jamaa kalishwa kafinyango ati asiwe na kauli katika famili lakini yahuzunisha.HIVI MDAU MKE AWEZA KUKUACHA NYUMBANI AKAENDA KULEWA TILL MID-NIGHT UKACHUKULIA NORMAL?
 
Unauwakika huyo bro wako ni mwanaume kweli???

CD68AE22-F996-4844-9819-2E592A163FF4.jpeg
 
Hitimisho:
Mwanamke faking
Mwanaume faking zaidi
Nilipotea sinza mitaa ya ndani ndani
Nikaomba wasamaria wema nipate ramani
Aunt aunt samaha ni
Kwani we una bei gani
Aaah mi mgeni nilikuwa, nauliza hii njia inaenda kanisani
Si ndo nakutana na Shabani namjua
Namsalimia Shebby ameuchubua
Shebby Anasuasua
Au I'm not sure
Kumbe huku anakwenda kama Pastor Joshua

Mind your business

404: Page Not Found
 
Kama tittle inavyojieleza waungwana nimeguswa kupepesa juu ya hili swala.Kisa kama hiki nimekifuma mahali.Mke anakunywa mme hanywi.Chakustua zaidi mke anaenda kulewa huku anamwacha mumewe nyumbani akifanya kazi za ndani.

Chakushangaza huyu mwanadada anapokuwa huko ulevini yanazungumzwa kwamba anao wadau kadhaa anaopita nao,cha ajabu mdau huyu (mume mtu) yupo kimya tu hata kumkanya mdau kuhusu tabia hii.

Hivi kweli mke anarudi saa tatu usiku mume ndiye anayepikia watoto ,na wakati mke anarudi anaonekana kabisa kwamba " amelowaa amelowaa amenyeshewa na mvua yawo yawo"nadhan mmenielewa lakin cha kushangaza blaz yupo cool tu.

Du wajumbe na huu ulimwengu ulivyoshehen magnjwa,Du inasikitisha ,japo yasemekana jamaa kalishwa kafinyango ati asiwe na kauli katika famili lakini yahuzunisha.HIVI MDAU MKE AWEZA KUKUACHA NYUMBANI AKAENDA KULEWA TILL MID-NIGHT UKACHUKULIA NORMAL?

Mume asimame katika nafasi yake, mke anadharau maana mume hana sauti
 
Kuna wanawake sura nzuri chuchu dede akivua sketi ndani unakutana na konga,

Mind your business

404: Page Not Found
 
Kila mmoja ana maisha yake
Siwezi kusema hayakuhusu kwa sababu kuna watu wanapenda kupitisha pua zao kwenye maisha ya wengine na hilo ni kawaida kabisa

Huyo jamaa inaonekana amekubali au alimpenda akiwa katoka bar au walikutana nightclubs na kuungana

Kakubali maisha hayo sasa wewe nani wa kushangaa

Hii Dunia kuna mengi utayaona na kushangaa ila pia tu maana hata wanao wanaweza siku moja wakakushangaza kwa tabia zao

Huu ndio ukweli hata wanao huwezi kuwapika wakawa kwenye mstari unaotaka wewe

Muombe Mungu na usifuatilie ya watu
 
Jambo la kawaida sanaa, maisha sio maguu sanaa ka uwazavyoo

ukishamfahamu mtuu (rafiki/mwenza/ndugu etc) ni rahisi kuishi nae kuliko usipomfahamuu
 
Back
Top Bottom