Kama anataka kuolewa na mtoto wa billy gate ,trump au bakhresa ulitaka atake mahali ya laki moja?Mtazamo tu wadau cz Leo kajinadi...
Ni mtaji tosha kwa maskini kwa matajiri wakubwa hiyo ni pesa ya kumnunulia mchumba Pete ya uchumba ya Almasi tupu na chain za kuvaa za madini ghali.tulushaongea sana humu kuwa kila MTU aoe saizi yake.Huyo mtoto wa kike unakuta wazazi wake wamempa biashara na maghorofa ulaya na marekani na anamiliki ndege za abiria na visima vya mafuta kwake milioni 500 ni nini?tatizo hapa maskini ambao hawajawahi shika hata milioni 10 wataka dezo ndio wanajitia ohh anajiuza.unaijua hadhi ya huyo mwanamke?Mtaji tosha huo
Mahari haitangazwi hadharaniNi mtaji tosha kwa maskini kwa matajiri wakubwa hiyo ni pesa ya kumnunulia mchumba Pete ya uchumba ya Almasi tupu na chain za kuvaa za madini gari.tulushaongea sana humu kuwa kila MTU aoe saizi yake.Huyo mtoto wa kike unakuta wazazi wake wamempa biashara na maghorofa ulaya na marekani na anamiliki ndege za abiria na visima vya mafuta kwake milioni 500 ni nini?tatizo hapa maskini ambao hawajawahi shika hata milioni 10 wataka dezo ndio wanajitia ohh anajiuza.unaijua hadhi ya huyo mwanamke?
Africa tu.Nchi zingine ni haki ya kidemokrasia waweza itumia au laMahari haitangazwi hadharani
Unakuta anadai hyo 500mln alafu kmbe ashaliwa kama samakiKama yeye mwenyewe ameridhia ni sawa kabisa Ila awe mpyaaa hajaguswa
Mkuu mnamuongelea nani? Cjaielewa badoSomething is Wrong somewhere.
Kuacha kubaya sana.
She was not in her normal state of mind.