Mwanamke kukosa hamu ya tendo

Unajua Mkuu hawa viumbe mpaka wakuridhie wenyewe ndo utamwelewa unaweza kuta yupo na we we kwa vihela tu basi wa kumkuna yupo kwa matakwa yake,kingine hawa viumbe wanachagua walau usiwe na sura nzito sasa unakuta sisi wengine sura nzito kama unalia aaaah hapo utamlazimisha tu hii ni kila mwanadam hakuna anayependa kibaya hilo lawezekana hajaridhika na ww,he ukirudi hata kiss unapata za kutosha?
 
Umenena vyema mkuu
 
Jitahidi kumpeleka kule MTO Ngono kule bukoba, atakaa tu sawa niamini mimi..
 
Mara chache sana
 
Wapo wengine huwa hawapendi umkomalie sana kwenye sex na mastaili ya ajabu ajabu wakati bado wapenzi!
Mpaka ndoa kwanza.....
 
Umeweza kumsomesha mpaka akakukubali hapo palipobakia ni padogo sana,kua muwazi kwamba hushibiii na yeye ndio anaeweza kukushibisha...
Analijua hilo kwamba mimi sitosheki maana hua namwambia
 
Wapo wengine huwa hawapendi umkomalie sana kwenye sex na mastaili ya ajabu ajabu wakati bado wapenzi!
Mpaka ndoa kwanza.....
Style zenyewe hataki ni moja tu na huwa nampa hyo anayotaka
 
huyo atakuwa ana tumia njia ya uzazi wa mpango kijiti, sindano hivi vikata hamu ya ku sex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…