Hapo tyr ushapigwa tatu bilanimebembeleza nimelia
Kwa comments zako humu mwanamke lazima asepe , na mimba sio yako acha usumbufuWakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live.
Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona.
Yaani nimebembeleza nimelia hajali
Wameshampumbaza hawa mbwa.
Nampataje tena.
Mimba kama yangu ni kweli anayo ila ndio hataki hata kusikia harufu yangu.
Lia mpaka mpaka machozi yakaukeWakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live.
Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona.
Yaani nimebembeleza nimelia hajali
Wameshampumbaza hawa mbwa.
Nampataje tena.
Mimba kama yangu ni kweli anayo ila ndio hataki hata kusikia harufu yangu.
ndio tabia ya mimba changa ilivyo gentleman, haipendi kuona vipara au mapengo ya muhusika wa mimba hiyo,Wakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live.
Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona.
Yaani nimebembeleza nimelia hajali
Wameshampumbaza hawa mbwa.
Nampataje tena.
Mimba kama yangu ni kweli anayo ila ndio hataki hata kusikia harufu yangu.
π Poleeee umelilia mapenzi au mimba? Uliona majibu ya kujua ipo kweli.Yaani nimebembeleza nimelia hajali
Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona.
Ameona mbali dada wa watu, kada wa ccm anaweza mnajisi mwanae uzazi wa kwanza usije chafuka bure.anataka kuzaa kiumbe saaafi .
Acha kifafa cha mimba, kuna kichaa cha mimba huenda kimemkumba na baada ya kujifungua, atarudiwa na hali ya kawaida.Wakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live.
Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona.
Yaani nimebembeleza nimelia hajali
Wameshampumbaza hawa mbwa.
Nampataje tena.
Mimba kama yangu ni kweli anayo ila ndio hataki hata kusikia harufu yangu.
Kaenda kwa mumewe huyo, saivi anaichakata tu. Ila wanawake πWakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live.