Wanaume wameachana na kutamani makalio sasa mioyo yote imehamia kwenye hips yaani mwanamke akiwa hata flat screen kinamna ila hips imechomoza vidume hoiii
Mbona mnatuchanganya sana jamani maana Kiepe Yai yeye alisema eti tunapenda sana du mwny kalio kubwa na wewe samakinchanga unasema eti tunapenda hips hata kama demu yuko flat...... Jamani hivi hamjui kuwa kila mtu huwa ana chaguo la aina aitakayo