Mwanamke hataki maelewano

Aisee nachukia ile hali
Unakuta unasema kabisa muda huu sifanyi tena hivi
Ila inatokea tu unajikuta umefanya.

Kuna mawili either dada mimba inampelekesha ama kweli anaamua na akili yake.
 
We mwanaume kukaa kimya hauwezi mpaka umbembeleze
 
usimnyime kitu anachotaka mjamzito jamani
sio ""kwamb a ana mnyima ""..hana hela yakumpa kwa sasa..""".kutokana na halo "YAKE ya uchumi"" kupigwa"""kasia LA dhiki ....¡!!!


anachopaswa" nikuvumilia""" tu kero za huyo binti na kuwa mtu ""mwenye busara"" asimchukulie kama Malaya """Bali amchukulie kama mzazi mwenzie mtarajiwa """ tatizo Jamaa anamchukukia kam huyo demu ni Malaya ndio maana hana hata muda wakum'bembeleza pindi binti anapokuja juu"""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…