Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 92
- 280
Kama mleta mada ndo mwenye picha hii huna marinda!MWANAMKE ALIYEPO KWENYE CHANGAMOTO HANA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI MAZURI YA UHUSIANO
Na Comrade Ally Maftah
Wanaume wengi tunaingia katika changamoto ya kuwasaidia wanawake kupata mafanikio wayatamanio na baada ya wao kufika kwenye mafanikio haya wanatutema.
Baada ya utafiti wangu wa kina nimegundua kwamba kuna kundi la wanaume wenzangu tumedumbukia kwenye janga la hiyo na hii ni kwa sababu -:
1. Mwanamke akiwa katika changamoto ya mkwamo wa kiuchumi au kukosa ada ya shule ana uwezo wa kufanya lolote ajinasue, atakuwa tayari kufuata maelekezo yako mpaka atakapofanikiwa.
2. Mwanamke akishafanikiwa anatafuta uhuru wa kimahusiano yaani ampate mtu ambaye ni kweli anampa burudisho la nafsi yake.
KIPI ANAKIFANYA AKISHAFANIKIWA
1. Kukudharau na kukuona upo chini ya viwango vyake kimaisha na kielimu.
2. Kutafuta kasoro zote zilizopita huko nyuma na kuziwasilisha upya na hasa kasoro zinazohusu uwezo wa kumudu tendo la ndoa, ili akuondoe kabisa mchezoni asipate mtu wa kumkanya.
NINI MWANAUME UKIFANYE
1. Msaidie mwanamke kwa kiwango chako ambacho hakitakutoa katika uchumi wako, ukiona majukumu yanakuzidi jichomote katika mtego huo mapema
2. Ikitokea mwanamke umemfikisha sehemu na kakukataa "KAUSHA" hakuna mtu humu duniani atakaa upande wako katika kesi ya hivyo, sana sana kuna mwanaume mmoja yeye na kundi lake litaungana na huyo mwanamke na ndugu wa mwanake kumtafutia uhuru.
KITABU CHA SIASA KAZI MAARIFA KITAZUNGUMZIA HAYO
Ndimi
Comrade Ally Maftah
MSHAURI WA NDOAView attachment 2899272
Kuna ushauri gani hapa wakati amezungumzia mambo ya kawaida ya kila siku?haya mshauri wa ndoa kaandika lakini bado kuna kenge hazitasikia,inaitwa kusikia kwa kenge mpaka atoke damu masikioni..π
Kableach hadi ndevu dadeq!!!Mshauri wa ndoa ndo wewe umejipaka ma bleach
Comrade umeshauri na kutoa ujumbe mzito sana kuhusu mahusiano uchumba na ndoa.MWANAMKE ALIYEPO KWENYE CHANGAMOTO HANA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI MAZURI YA UHUSIANO
Na Comrade Ally Maftah
Wanaume wengi tunaingia katika changamoto ya kuwasaidia wanawake kupata mafanikio wayatamanio na baada ya wao kufika kwenye mafanikio haya wanatutema.
Baada ya utafiti wangu wa kina nimegundua kwamba kuna kundi la wanaume wenzangu tumedumbukia kwenye janga la hiyo na hii ni kwa sababu -:
1. Mwanamke akiwa katika changamoto ya mkwamo wa kiuchumi au kukosa ada ya shule ana uwezo wa kufanya lolote ajinasue, atakuwa tayari kufuata maelekezo yako mpaka atakapofanikiwa.
2. Mwanamke akishafanikiwa anatafuta uhuru wa kimahusiano yaani ampate mtu ambaye ni kweli anampa burudisho la nafsi yake.
KIPI ANAKIFANYA AKISHAFANIKIWA
1. Kukudharau na kukuona upo chini ya viwango vyake kimaisha na kielimu.
2. Kutafuta kasoro zote zilizopita huko nyuma na kuziwasilisha upya na hasa kasoro zinazohusu uwezo wa kumudu tendo la ndoa, ili akuondoe kabisa mchezoni asipate mtu wa kumkanya.
NINI MWANAUME UKIFANYE
1. Msaidie mwanamke kwa kiwango chako ambacho hakitakutoa katika uchumi wako, ukiona majukumu yanakuzidi jichomote katika mtego huo mapema
2. Ikitokea mwanamke umemfikisha sehemu na kakukataa "KAUSHA" hakuna mtu humu duniani atakaa upande wako katika kesi ya hivyo, sana sana kuna mwanaume mmoja yeye na kundi lake litaungana na huyo mwanamke na ndugu wa mwanake kumtafutia uhuru.
KITABU CHA SIASA KAZI MAARIFA KITAZUNGUMZIA HAYO
Ndimi
Comrade Ally Maftah
MSHAURI WA NDOAView attachment 2899272
πMshauri wa ndoa ndo wewe umejipaka ma bleach
Midume ya aina hii huwa naona kama ina kasoro dadeq.Kableach hadi ndevu dadeq!!!
Cover of the book not match content .Kableach hadi ndevu dadeq!!!