Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Wanawake wengi(baadhi yao)wanaozidi umri huo hapo juu wanakuwa ni mapretenders, wenye tabia za vinyonga wakificha tabia zao halisi ili tu wapate wanaume wa kuwaoa huku historia zao zikiwa chafu. Ukitazama mahusiano mengi yanayoanza na mwanamke akianzia hasa miaka 25+ yanakuwa hayadumu kwa sababu mwanaume anakuja kuona tabia halisi za mwanamke akiwa ndani ya mahusiano na sio kabla.
Muwe na siku njema.
Inawezekana lakini nimesema sio wote.mbona narange hapo and am a pretender[emoji58]
Walifanyaje? fafanua.Sometime you'll be old enough and realise that age is just a number.
Majay alifanya unachosema na Diamond alifanya tofauti na unachosema. Majibu yamekuja vise versa.
Ni kweli na katika kipindi hicho ni rahisi kumtengeneza. Wahenga wanasema samaki mkunje angali mbichi.I beg to differ. Katika umri huo sio rahisi kujua nini mwanamke anachokitaka kwani hata yeye mwenyewe anakuwa hajajua nini anachokitaka. This is the self discovery age!
Mtu huyu akija kujitambua, na akibaini kuwa alikosea kuwa na wewe....Anajikunjuwa mkuu!Ni kweli na katika kipindi hicho ni rahisi kumtengeneza. Wahenga wanasema samaki mkunje angali mbichi.
Mwamamke mpaka awe mzee hajui anachotaka mkuu,,waone hvyo hvyo,,ndio mama zetu,dada zetu,wake zetu lakin hawajui wanachokitaka haswaI beg to differ. Katika umri huo sio rahisi kujua nini mwanamke anachokitaka kwani hata yeye mwenyewe anakuwa hajajua nini anachokitaka. This is the self discovery age!
Labda mwanaume awe zero kama bashite.Mtu huyu akija kujitambua, na akibaini kuwa alikosea kuwa na wewe....Anajikunjuwa mkuu!
Na ni kwa sababu ya malezi, mwanamke analelewa kutii hivyo anakosa confidence ya kusimamia anachokita. Ukikutana na waliolelewa kuwa na confidence usipime mkuu, they know exactly what they want and they are out to get it.Mwamamke mpaka awe mzee hajui anachotaka mkuu,,waone hvyo hvyo,,ndio mama zetu,dada zetu,wake zetu lakin hawajui wanachokitaka haswa