Heaven on Earth mwanaume anayejitambua ni yule anayejali.kuthamini, kukuwakilisha na zaidi yule aliye tayari kukutetea na kukupigania aidha kwa kupingana na watu wanaokusema vbaya na kusapoti pale unaposemwa vzuri, Haitoshi yule anayejua majukumu yake ya msingi ya kiume na kuyasimamia kwa msimamo uleule bila kuyumba kubwa mwanaume anayejitambua atakuambia upo wrong pale utakapokosea ili kukujenga na kukuimatisha.