Mwanamke asipofanya mapenzi kwa muda mrefu

Mwanamke asipofanya mapenzi kwa muda mrefu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,195
:MWANAMKE USIPOFANYA MAPENZI KWA MUDA MREFU UNAWEZA KUPATWA NA YEFUATAYO:
.
1.Unaishiwa Akili Kichwani.
.
2.Unaishiwa Utamu, Hata Ukifanya Mapenzi Mwanaume Hawezi Kuenjoi.
.
3.Kukakamaa Na Kupauka Makalio.
.
4.Kupoteza Mvuto Wa Sura
.
5.Kizazi Kugeuka Na Kurudi Nyuma.
.
6.Tumbo Kujaa Gesi Na Utumbo Unaweza Kujikunja
.
7.Kunyonyoka Nywele Kichwani,makwapani Na Sehemu Ya Siri.
.
8.Makalio Kuwa Flat Scree Na Hipsi Zinapotea
.
9.Unaweza Kupatwa Na Matege
.
...!

Nb;dildo siyo solution.
 
Kama kuna kaukweli hapa. Maana kuna mdada tupo nae sehemu inasemekana hajaguswa kitambo na ana dalili nyingi kama hizo ulizozitaja
 
Ngoja nimfowadie mwanamke mmoja hivi, yeye hataki kunipa utamu anasubiri hadi ndoa!!
 
Huyu naye ana lake jamabo haha ati dido sio solution hahaha kwaiyo kaacha option moja
 
tehe tehe tehe
jf ni zaidi ya uijuavyo
 
Umetumia vigezo gani na kwa wanawake wangapi uliowafikia wenye tabia hiyo
Utafiti wangu Mdogo tu Chunguza sana madada wanaojifanya wanabana sana shepu zao zilivyo na pia Chunguza madada wanaojiachia ndio utapata jibu kamili.
 
Aksante sana mkuu umenisaidia kumgusa mama mmoja ninamtafuta kwa udi na uvumba. Amekaa kiupweke siku nyingi baada ya kuachwa na mume wake akaoa mwingine tena hg wake. Kila nikipost kamemo anajibu flat kuwa hana haja ya mwanamume at dilldo latosha. Ntamuonesha andiko hili leo leo
 
Kweli we Ni Zero IQ.Hao masister wasiofanya mapenzi mbona wako biyee
 
Back
Top Bottom