Mwanamke apewa daraja la upadri

Tanzania hadi mufti mwananke anahitajika
 
Wanawake ni haram kwa Imani yako. Sisi tunawaheshimu maana bila wao hakuna binadamu. Mama yako amekuchangia Chromosome 23 sawa na baba yako. Huna adabu
 
Hii ni noma sana katika waumini wa katoliki..
 
Wanawake ni haram kwa Imani yako. Sisi tunawaheshimu maana bila wao hakuna binadamu. Mama yako amekuchangia Chromosome 23 sawa na baba yako. Huna adabu

Labda we Kakende umesilimu lkn kama bado ni MGALATIA basi andiko lako linakwambia mwanamke ni kama uchafu tu! Akae mbali, tena akiwa na janaba ndio balaa kabisa!

Hebu soma andiko linavyosema. Hapa.

"Mwanamke yeyote,kama-anatokwa na kitu, na kitu chake alichokuwa nacho mwilini mwake ni damu, ataketi katika kutengwa kwake muda wa siku saba na mtu yeyote atakayemgusa atakuwa najisi hata jioni. (Mambo ya Walawi 15:19)".

Yaani utafkiri kutokwa na damu ni kosa la jinai!

Na wewe ulivyokuwa na elimu ndogo ya andiko lzm utakuwa NAJISI MPAKA KESHO!

teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…