vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,640
HINPATI ASILANI KWA STAILI HIIHabari wadau,
Mimi mgeni humu jamani naomba ruhusa yenu nipost humu
Mimi bwana huwa napenda sana mwanamke anayetukana...Yani mwanamke akiwa anatukana mi huwa napanda genye balaa. Haswa yale matusi ya nguoni yale.
Nakumbuka nilipokuwa form six mwaka 2000, kuna demu mmoja jirani yetu niliwahi kumrekodi anatukana ndo nikawa naitumia "kurekebisha mambo fulani" nikiwa chooni.
Hata wakati naoa nilikuwa nimeweka kigezo kikubwa kuwa mwanamke lazma awe anajua kutukana. Nilishawahi kwenda kutoa posa sehemu nikamwita mschana pembeni nikamuomba anitukane (Of coz alishangaa) nilivyoona ananitolea tu mimacho nikasepa.
But huyu niliyenaye muda huu anatukana balaa. Kwa hiyo naenjoy tu....Nikifika tu home anaanza matusi basi fasta tunaelekea chumbani...
(Nasubiri kusikia mwingine aseme naye ana tabia kama hii)
Dunia ina binadamu wengi kila mtu na mambo yake na shida zake.
Kwa hiyo bila kutukanwa hupati mzuka kabisa?
Hilo tatizo aiseee
Tena sana @missyroseInasikitisha..
This is truth, vivyo hivyo wanawake wengi hupenda wanaume wenye tabia kama za baba zao.Wanaume wengi huwa wanapenda wanawake wenye tabia zinazofanana na tabia za mama zao
Hili sio jipu kweli?
Atukane wakati wa mechi ndo poa!Habari wadau,
Mimi mgeni humu jamani naomba ruhusa yenu nipost humu
Mimi bwana huwa napenda sana mwanamke anayetukana...Yani mwanamke akiwa anatukana mi huwa napanda genye balaa. Haswa yale matusi ya nguoni yale.
Nakumbuka nilipokuwa form six mwaka 2000, kuna demu mmoja jirani yetu niliwahi kumrekodi anatukana ndo nikawa naitumia "kurekebisha mambo fulani" nikiwa chooni.
Hata wakati naoa nilikuwa nimeweka kigezo kikubwa kuwa mwanamke lazma awe anajua kutukana. Nilishawahi kwenda kutoa posa sehemu nikamwita mschana pembeni nikamuomba anitukane (Of coz alishangaa) nilivyoona ananitolea tu mimacho nikasepa.
But huyu niliyenaye muda huu anatukana balaa. Kwa hiyo naenjoy tu....Nikifika tu home anaanza matusi basi fasta tunaelekea chumbani...
(Nasubiri kusikia mwingine aseme naye ana tabia kama hii)
Kwa kweli itabidi maana hii ndiyo habari mjini kwa sasa.Mi naona tayari limeiva hebu tafuta namna ya kulitumbua
Kwa kweli itabidi maana hii ndiyo habari mjini kwa sasa.