kumbeee!, duh. basi napendwa xana, endeleeni kunipa ila jua mnaniharibu saikolojikale nitakapomkuta mamaa ambae atapenda mm nimpatie vyangu itakuwa shda xana maana nitakuwa nmezoeshwa kupewa. ngoja nijifunze kutoa aisee!
Mimi Kuna Mdada ni Nesi Pale Hospitali Ya Sinza Palestina, Alikuwa Ananipa Vitu Kibao. Sasa Juzi Nikaikamata Simu Yake Na Kuipekua, Nilichokikuta Nikamuacha Pale Pale; Eti Ananidai Pesa zake na gharama alizotumia