born to win
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 561
- 168
Je, mwanamke akikuhonga kitu anachokithamini sana ni kwamba;
1. Anakupenda?
2. Anakujali?
3. Anakuzuga tu?
4. Anaonyesha Kuwa matawi ya juu?
5. Anakudanganya ili wewe umuhonge zaidi?
Majibu yenu muhimu
Kuna mmoja huyo anuza duka la vitu mbalimbali vya nyumbani basi kanizimikia anavyonionga balaa...
Mikate, bluebend.maziwa,sukari,mchele,unga n.k
sasa nna mpango wa kuanza kumkwepa maana amezidisha manjunju ya kunionga teh teh teh.... alaaaaah kupenda gani huku....:teeth:
May be she is rich and your poor .Au wewe low maintenance nguo zako za pink ,suruali za njano viatu vyeupe mkanda mwekundu .Anakununulia ili uonekane unavaa vizuri .Labda hupaki deodorant anabidi akununulie.Je, mwanamke akikuhonga kitu anachokithamini sana ni kwamba;
1. Anakupenda?
2. Anakujali?
3. Anakuzuga tu?
4. Anaonyesha Kuwa matawi ya juu?
5. Anakudanganya ili wewe umuhonge zaidi?
Majibu yenu muhimu
Kusaidiana gani huko? Mtu anakupa Gari lake yeye anahamia Kwenye Bajaj???
Je, mwanamke akikuhonga kitu anachokithamini sana ni kwamba;
1. Anakupenda?
2. Anakujali?
3. Anakuzuga tu?
4. Anaonyesha kuwa matawi ya juu?
5. Anakudanganya ili wewe umuhonge zaidi?
Majibu yenu muhimu.
Je, mwanamke akikuhonga kitu anachokithamini sana ni kwamba;
1. Anakupenda?
2. Anakujali?
3. Anakuzuga tu?
4. Anaonyesha kuwa matawi ya juu?
5. Anakudanganya ili wewe umuhonge zaidi?
Majibu yenu muhimu.
chochote unachopenda amini kinawezekana rfkje, mwanamke akikuhonga kitu anachokithamini sana ni kwamba;
1. Anakupenda?
2. Anakujali?
3. Anakuzuga tu?
4. Anaonyesha kuwa matawi ya juu?
5. Anakudanganya ili wewe umuhonge zaidi?
Majibu yenu muhimu.
Inategemea, inawezekana ana huruma we una amini unahongwa
Hata mimi nakubari (Hongeleni sana wakina Mama Huruma)