KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,766
- 21,474
Inategemea, inawezekana ana huruma we una amini unahongwa
No upendo tu
Simn kwenye kuongwa bali naamn kwenye kusaidiana
Yote uliyoyaweka hapo yanawezekana. Pia anaweza kuwa anakuona maskini, usiejitegemea, usie na direction ya maisha so anajaribu kukusaidia kama mtu usieweza kujitegemea.
Inategemea anakuwazia nini
Siwezi kusema ivo mojakwamoja but ni njia mojawapo ya kuonyesha her feelings for youkwa hiyo ndio kipimo cha upendo wa dhati?
Uso wa nyoka Hivi ni kweli inawezekana?
Je, mwanamke akikuhonga kitu anachokithamini sana ni kwamba;
1. Anakupenda?
2. Anakujali?
3. Anakuzuga tu?
4. Anaonyesha Kuwa matawi ya juu?
5. Anakudanganya ili wewe umuhonge zaidi?
Majibu yenu muhimu
Kwa hiyo???
Yote yanawezekana, cha muhimu ni kuwa makini tu