Mwanamke anaweza kuwa Baraka katika maisha yako soma kisa changu

Yaani we jamaa ni mzembe sijapata ona yaani kununua Mashuka,fridge na Tv pia ulihitaji mpaka upate mwanamke akuambie? unampa sifa bure huyo mwanamke kwa uzembe wako mwenyewe
 
Hivi kuna watoto wakiume miaka28 bado anakaa kwao? Mtoto wakike sishangai, ila mtoto wakiume wapo kweli?😂😂😂 bora nitoke nibanane hata na masela getoni nikiwa najitafuta, Mimi nilianza kukaa na washkaji
Mm nlivoenda advance Ndo imeenda hyo nkienda nafata Hela tu
 
unatumikishwa na demu aiseee
 
Cha kusubiri hapo ni KUTOMBEW(A) tuuu..!!!

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…