N Newtongift Member Joined Feb 21, 2014 Posts 93 Reaction score 5 Oct 12, 2014 #1 Jaman natafuta mke wa kuoa kisura umri 18-26 elimu sekondari hadi chuo kikuu mie nna elimu ya chuo. mwenye vigezo pm
Jaman natafuta mke wa kuoa kisura umri 18-26 elimu sekondari hadi chuo kikuu mie nna elimu ya chuo. mwenye vigezo pm
Shy land JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 6,245 Reaction score 2,856 Oct 12, 2014 #2 Kwa nini? nyie mnaotafuta wachumba jf, hampendi kujielezea vzr, ili wale wanaowataka wavutiwe na nyie,,,,!
Kwa nini? nyie mnaotafuta wachumba jf, hampendi kujielezea vzr, ili wale wanaowataka wavutiwe na nyie,,,,!
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,557 Reaction score 28,433 Oct 13, 2014 #3 Shy land said: Kwa nini? nyie mnaotafuta wachumba jf, hampendi kujielezea vzr, ili wale wanaowataka wavutiwe na nyie,,,,! Click to expand... kama una vigezo na nia mcheki mwenzio PM mmalizane mkaanzishe familia..
Shy land said: Kwa nini? nyie mnaotafuta wachumba jf, hampendi kujielezea vzr, ili wale wanaowataka wavutiwe na nyie,,,,! Click to expand... kama una vigezo na nia mcheki mwenzio PM mmalizane mkaanzishe familia..
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 620 Oct 14, 2014 #4 Newtongift said: Jaman natafuta mke wa kuoa kisura umri 18-26 elimu sekondari hadi chuo kikuu mie nna elimu ya chuo. mwenye vigezo pm Click to expand... hivyo ndo vigezo vyako?kweli hizi ndoa za serenget boys ni matatizo wew umeona umemaliza kwa elimutu
Newtongift said: Jaman natafuta mke wa kuoa kisura umri 18-26 elimu sekondari hadi chuo kikuu mie nna elimu ya chuo. mwenye vigezo pm Click to expand... hivyo ndo vigezo vyako?kweli hizi ndoa za serenget boys ni matatizo wew umeona umemaliza kwa elimutu
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 620 Oct 14, 2014 #5 Shy land said: Kwa nini? nyie mnaotafuta wachumba jf, hampendi kujielezea vzr, ili wale wanaowataka wavutiwe na nyie,,,,! Click to expand... tatizo ni wale watoto wa fb ndo wamevamia huku mtu mwenye akili na uhitaji wa kweli hawezi kua na maelezo kama haya.yani nikama vile hajui anachokitafta na yeyepia hajijui
Shy land said: Kwa nini? nyie mnaotafuta wachumba jf, hampendi kujielezea vzr, ili wale wanaowataka wavutiwe na nyie,,,,! Click to expand... tatizo ni wale watoto wa fb ndo wamevamia huku mtu mwenye akili na uhitaji wa kweli hawezi kua na maelezo kama haya.yani nikama vile hajui anachokitafta na yeyepia hajijui