Mwanamke anataka malipo

infact huyo hujamuoa ila umemuowa!!! endelea kumuowa tu maana ni biashara ati
 

kwa nini kichwa kinakuuma kama hufurahi khali hii ambayo wewe mwenyewe umejitakia........maamuzi unayo na hutaki kuyafanya sasa watarajia nini?
 

sasa unacholalamika ni nini,kumbe mmepatana kulipana mshahara na marupurupu juu.....endelea tu kumlipa coz ndio makubaliano yenu. Na sijui mahari ilikuwaje...lol
 
Kama salio linasoma mfungulie biashara yoyote atakayo ipenda.
 
labda tukiiweka in monetary terms inaweza kueleweka vizuri zaidi.. ni kiasi gani anacharge kwa 'mmego' mmoja?
 
Pole sana ndugu yangu. mie kwa sasa sina ushauri juu ya hilo ila Mungu akusaidie upate ufumbuzi katika hilo.
Best wishes
 

Kakupa limbwata?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…