Mwanamke anapokutushia maisha

bbwaoy

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
466
Reaction score
468
Ni ajabu sana kwa miaka hii una weza kua na mpenzi, mchumba au mke ambae wote mnakua wababe.

Kitu ambacho zaman ilikua tofauti, tuna fahamu fika kuwa mwanamke ameumbwa kuwa mnyenyekevu nahisi hichi ndicho kivutio kwa mwanaume, mwanamke mpole na msikivu.

Niulize swali, mwanamke anaemtishia mwanaume maisha wewe una mchukuliaje?
 
Nachukulia kama anapiga biti tu ila mziki hauwezi
 
Wanawake ni viumbe, na wanaume tuliambiwa tuishi nao kwa akili aiseeee....
 
Akitunisha msuli inamaana hujawahi kumuonja hata na kibao kimoja.
 
woman will still be a woman no matter what

mary was still mary regardless birth of jesus,the so called son of God

so hata awe kiongozi wa islamic state bado atakuwa mwanamke tu..full stop
 
usiogope kitu mwanamke ni mwanamke tu hata akivaa groves

 
apige biti anawekwa pembeni mwingine anaingia...anapotezewa kabisaa mwisho atanywea
 
biti lazima, madume wenyewe wa siku hamueleweki.
 
kuna wanawake nao wao misuli
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1449255361582.jpeg
    17.4 KB · Views: 318
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…