elishaezekiel
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 563
- 1,473
Wakuu kwema
Hii siyo mara ya kwanza daa!
Sasa this time anaomba kabisa niwe nae nisimuache anadai ananipenda…
Najua mwanamke anatakiwa awe hivi kwa mwanaume wake kwamba mwanamke atoe upendo mkubwa kuliko wanaume na wanaume kwa kua ni “unchanging, unwavering “ arudishe hiyo love.
Ni hatari kwa kinyume chake pale ambapo mwanume anapambana ili kumset manzi ampende never does it work, never should you try.
Frame inataka mwanaume acontrol options na mwanamke aonyeshe “ udhaifu” huo.
Anyway yote heri, wanawake siyo wagumu kukomprehend kama watu wengi wanavyodai . Kuna basics ambazo female mind inaoperate nazo ukizimaster hizo basi tabia zingine zoote zinamanifest kutoka huko kwenye hizo basics/ roots ambazo ni:
1. Narcissism( selfishness)
2. Role playing ( manipulation,lying,deception)
3. Fickleness ( Changeableness)
4. Myopia ( shortsightedness)
Kwa Huyu aaa okay let’s see.
Anaomba nisimgaye.