Mwanamke anapojifungua ni tatizo kutokuziona siku zake?

john.magai

Member
Aug 9, 2015
7
6
Hi wana jf
Naomben mnisaidie hiiv mwanamke anapojifungua na akaacha kuziona siku zake ni tatizo au ni kawaida maana awali alikuwa anaziona kama kawaida lakini baada ya kujifungua hazioni
 
Kwanza ni lazima utambue kuwa mwanamke anapokuwa na ujauzito huwa hapati hedhi kabisa, na baada ya kujifungua huwa hapati hedhi pia kwa kipindi fulan either for 5 or 6 months... baada ya hapo hedhi yake hurudi kama kawaida...
Ukiona umekaa muda mrefu bila kuona hedhi yako hilo ni tatizo, nenda hospitali ukajue afya yako""""""
 
Ooooh sawa lawrich ahsante umenifumbua ndugu
 
Ooooh sawa lawrich ahsante umenifumbua ndugu
Lakini pia kuna wanawake wengine baada ya kujifungua mzunguko wao wa hedhi huchukua mpaka miezi kumi ndio aone tena... hii hutokana na mazingira tu, sijua wewe una muda gani ila kama una mashaka ni vyema ukapate ushauri wa kitabibu...
 
Back
Top Bottom