ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,796
- 60,635
Eti katika vitu mwanamke anapenda katika mahusiano ni ile hali ya kutoku agree kwa maswala mengi mengi hasa yale ya siasa,michezo na burudani.
Watafiti wa mahusiano wanafika mbali na kudai kuwa mwanamke hapendi mwanamume watakae kuwa wamoja kwa kila jambo,ndio yapo mambo ya msingi katika maisha lazima mkubaliane lakini kuna mambo kama mnataka kunogesha penzi lenu ni lazima muweke mitazamo tofauti.
Mwanamke anapenda katika stori kuwe na mivutano,mwanamke anapenda kila siku umshangaze mwanamke huyuhuyu anapenda muishi kwa makelele.
Mwanamke anapenda uyasikilize mawazo yake lakini hapendi uyakubali bila pingamizi anakuwa anasubiri ujifanye unayaponda mawazo yake ili ajielezee.
SIFA KUU ALIYO NAYO MWANAMKE NA HATAKI WANAUME WAJUE NI KUWA SIKU ZOTE ANAJARIBU KUHAKIKISHA MWANAUME ANAENDELEA KUWA KICHWA YA ULIMWENGU.
TATIZO NI KUWA WANAUME WAMESHINDWA KUJIAMINI KAMA NI KWELI WANAAMINIWA HIVYO WANAUME WANAJARIBU KU PROVE KUWA MWANAMKE HUYU HAMWESHIMU ILA ANASAHAU KUWA MWANAMKE
ANAMUOGOPA SANA KIUMBE WA KIUME,UKITAKA KU MAINTAIN UPENDO WA MDADA HAKIKISHA UNATENGENEZA MAISHA YASIYO NA MFUMO MMOJA.
Onyesha ubora wako siku zote aone bila ya kumwambia
Sure mkuu..Baadhi ya mabishano ni chachu ya penzi bora..Sumtymz Inakera kuwa na mtu ambaye hakupi challenges
Eti katika vitu mwanamke anapenda katika mahusiano ni ile hali ya kutoku agree kwa maswala mengi mengi hasa yale ya siasa, michezo na burudani.
Watafiti wa mahusiano wanafika mbali na kudai kuwa mwanamke hapendi mwanaume watakae kuwa wamoja kwa kila jambo, Ana enjoy ukimpa challenges japo yapo mambo ya msingi katika maisha lazima mkubaliane lakini kuna mambo kama mnataka kunogesha penzi lenu ni lazima muweke mitazamo tofauti.
Mwanamke anapenda katika stori kuwe na mivutano, mwanamke anapenda kila siku umshangaze mwanamke huyu huyu anapenda muishi kwa makelele.hapendi utulivu wa 100%
Mwanamke anapenda uyasikilize mawazo yake lakini hapendi uyakubali bila pingamizi anakuwa anasubiri ujifanye unayaponda mawazo yake ili ajielezee.
Sifa kuu aliyo nayo mwanamke na hataki wanaume wajue ni kuwa siku zote anajaribu kuhakikisha mwanaume anaendelea kuwa kichwa ya ulimwengu.
Tatizo ni kuwa wanaume wameshindwa kujiamini kama ni kweli wanaaminiwa hivyo wanaume wanajaribu ku prove kuwa mwanamke huyu hamweshimu ila anasahau kuwa mwanamke
Anamuogopa sana kiumbe wa kiume,ukitaka ku maintain upendo wa mdada hakikisha unatengeneza maisha yasiyo na mfumo mmoja.
Onyesha ubora wako siku zote aone bila ya kumwambia.
Kwa hoja lakini.
Napenda ubishi so nikimpata wakubishana naye ntakamilisha furaha yangu. Wote ninao kutana nao wanakosa sifa hii, sijui nifanyeje