Ya kwamba mtoto atalea mwenyewe hiyo ni gia tu na pengine anajua unapenda miteremko..!!Habari za jioni ndugu zangu.
Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.
Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia😁
Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.
Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndo sababu ya kujoin jamiiforum leo).
Kuna mmoja aliniambia hili, nikamwambia aandike contract kwa mwanasheria, kama utani.Ya kwamba mtoto atalea mwenyewe hiyo ni gia tu na pengine anajua unapenda miteremko..!!
Ukazaa naye au ulisepa? Na kama ulisepa ulifanikiwaje?Kuna mmoja aliniambia hili, nikamwambia aandike contract kwa mwanasheria, kama utani.
He, bidada si kaja na contract kweli!
Nikamwambia hapa kutakuja kuwa na matatizo baadaye.
Sawa Faru John! Karibu JF!Habari za jioni ndugu zangu.
Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.
Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia😁
Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.
Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndo sababu ya kujoin jamiiforum leo).
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌 Tuvulana bhanaHabari za jioni ndugu zangu.
Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.
Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia😁
Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.
Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndo sababu ya kujoin jamiiforum leo).
Unamcheka mwanao badala ya kumshauri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119] Tuvulana bhana
33-22 mwanangu😳 huyu mbona Zari& Diamond! 🥰Unamcheka mwanao badala ya kumshauri
[emoji23]We Si Umejiunga leoleo!! Mara hii Ushapendwa? Una Kismati bro....
Kijana wa ovyo sana wwHabari za jioni ndugu zangu.
Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.
Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia[emoji16]
Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.
Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndo sababu ya kujoin jamiiforum leo).
Na mnapenda sana hawa vijana wadogo [emoji3]33-22 mwanangu[emoji15] huyu mbona Zari& Diamond! [emoji3059]