Kwa mwandiko huo mwanamke gani utaongea nae wewe?????
Nenda katafute wacheza viduku hapo utafiti barabara.
kwanza umemaliza shule wewe?????
aisee una majibu!! sipati picha kibuti chako kikoje..:confused2:
Kwa mwandiko huo mwanamke gani utaongea nae wewe?????
Nenda katafute wacheza viduku hapo utafiti barabara.
kwanza umemaliza shule wewe?????
Hii mpya!!! Kumbe muandiki siku hizi pia ni kigezo? Apologise lady ngoja nikuje pm si umeuona mwandiko wangu ulivo mzuri
Uliona wapi mwanaume anaandika, richie ndio jina langu, sindio hawa wa yo! yo!. utoto utoto.
Kwanza yeye mwanafunzi hata kitanda hana anakuja kutafuta mwanamke si viroja hivi????
PM Kwangu utamkuta mme wangu, we jipeleke huko.
Basi atafute jimama la kumlea kwanza mpaka akue
Uliona wapi mwanaume anaandika, richie ndio jina langu, sindio hawa wa yo! yo!. utoto utoto.
Kwanza yeye mwanafunzi hata kitanda hana anakuja kutafuta mwanamke si viroja hivi????
PM Kwangu utamkuta mme wangu, we jipeleke huko.
Labda kakumbukia kuimba Ngonjera alipokuwa anasoma shule ya msingi, huyu ndio baba naniliu wa baadae
25 ndio miaka yangu, Richie ndio jina langu, Tabata ndio makazi yangu, natafuta mwanamke anayejua thamani ya kupendwa na anayejua kupenda kujali, sichagui umri maana umri ni namba tu.
Kwa aliyetayari tuwasiliane tafadhali 0755091728 au rmwaiseje@gmail.com