Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 657
Nina mke na hajawahi kuninyima unyumba bila sababu, siku akininyima bila sababu ya msingi lazma auone mlango wa kutokea.Oa ndo ujue yaliyomo
hata mia mpaka nimpate wakuniridhishaUtapiga chini Wangapi?
Hata 200 kwa ni Tshs ngapiUtapiga chini Wangapi?
Hongera kwa hilohata mia mpaka nimpate wakuniridhisha
ahsante sanaHongera kwa hilo
Nina mke na hajawahi kuninyima unyumba bila sababu, siku akininyima bila sababu ya msingi lazma auone mlango wa kutokea.
Utapiga chini Wangapi?
Acha uroho!
Ukiona unanyimwa ujue hujui kumuandaa
Mwanamke ukimuandaa vema anaanzaje kukunyima unyumba?????....... Stop being SELFISHNimekua nikiona watu mbalimbali wakilalamika kwamba wanayimwa unyumba na wake zao, sasa huwa najiuliza mwanamke anaanzaje kukunyima unyumba kama hayupo kwenye menstruation cycle.
Binafsi hata nimpende vipi mwanamke akininyima unyumba aiseeeee lazima nimtoe kwenye system unless otherwise awe kwenye siku zake tu.Mwanamke kama anakunyima unyumba na hayupo kwenye siku zake jua kwamba kuna mwenzako anakula kiulainiiiiii.
Kama mwanamke anakunyimma tunda bila sababu ya msingi piga chini chalii angu, asikuletee mambo za kisolo.
Ni hayo tu