Mwanamke ana miruzi mingi atakupoteza….

Mwanamke ana miruzi mingi atakupoteza….

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,978
Mimi nilikua ni mnene sana kulingana na urefu wangu, nilikua na kg 94 na mtambi mkuuuubwa sana sana,….
Hali hii ilinikosesha amani japokua wakati naongezeka mwili wengi hukupa maneno ya hongera wakimaanisha kama unene ni ishara ya mafanikio, ;… lakini kwa mke wangu alikua akinicheka na kutopendezwa na unene huo,…

Michepuko na dah, nilikosa sifa kbs kwani hata wengine walinichana kuhusu tumbo lilikua ni kero kwao hawakuvutiwa kbs…

Nikaona isiwe tabu, nikaanza mpango wa kupunguza uzito na unene,… hivi mpaka sasa nina kg 75 kati ya zile 94 na tumbo liko flat kbs vile v-tshirt vinakaa powa kbs.

Sasa!… walewale waliokerwa na ule mtambi ndio haohao wananikosoa eti kwanini nimemaliza tumbo lote, ningelichia kidogo la kiboss boss flani libaki kuliko hivyo sasa lilivyo, oooh umepungua mpka umebadilika, ule ubonge ulikua unakupendeza sana,…. Daah nachoka kusikia hayo tena midomoni mwao.

Hivi wanawake wanaridhikaga kweli au vipi… miruzi mingi humpoteza mbwa,… sasa nimeamua kwamba nitabaki hivi nilivyo, sitaongeza tumbo wala uzito tena kwa matakwa ya wengine, ntachokifanya ni kwa ajili ya afya yangu, wanawake hawasomeki.
 
Ulikua na tumbo kuliko John Komba?Tafuta pesa mzee baba
 
acha zako mbona mimi nina kitambi naopoa kila leo tena mpaka nawakimbia
 
Back
Top Bottom