Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
Mmh. Kwani wanaume huwa hawauwi.Wanawake wana roho mbaya sana!
Mmh. Na wale wanaume wanaofanyaje nao wanakuwaga kwenye ubora wao ama vipi Mkuu?Mwanamke katika ubora wake.
Ubora ni ule ule mkuu, ila unapishana nyakati, mazingiraz mtenda na mtendwaMmh. Na wale wanaume wanaofanyaje nao wanakuwaga kwenye ubora wao ama vipi Mkuu?
Ooh. Sawa Mkuu.Ubora ni ule ule mkuu, ila unapishana nyakati, mazingiraz mtenda na mtendwa